Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Pole mkuu ulisahaulikaHiii,,,yan zlipendwa hata kunikarbisha kweny pilau
La pasaka
Umekataa? Stak kuamin
Naona kama naotaa au
Macho hayaon
Dhaaaaa!! Na kweli maanaPole mkuu ulisahaulika
Usijali Mkuu karibu kwa niaba ya mondray na wengine wote walio kusahauDhaaaaa!! Na kweli maana
Yan ukifungiwa na magu kidogo
Tu ndo bas na huku unasahaulika
Af mondray anapta tu buyubuyu
hatak hata kukumbusha
Nipewe card ya mwaliko
Ayaaa eeeeh asantee mkuuuUsijali Mkuu karibu kwa niaba ya mondray na wengine wote walio kusahau
Sawa mkuuAyaaa eeeeh asantee mkuuu
Ngoja hii jumapili iishe
Ikiwa vzr kabsaa
Mkuu ukiruhusu mwili uiongoze akili utapata sjida sana na hata wewe mkuu ogopa mapenzi kuongoza maisha yakoDuhhhhhhhhhhh Wee mkareeeeeeeee asee
Naona kabisa wewe huendeshwi wewe
Big upo mkuu
Sio rahisi kukumbuka wote mkuu nawewe waweza tupia salamu ruksaDuh! Sie ambao hatukujwa wacha tusafirie nyota za wenzetu maana tuliaminishwa kuwa msafara wa mamba na sie akina kenge hatukosi... We love u too sweetie.. Mwaaaaaah
Mkuu mi huwa naamini kupenda au kupendwa ni nanafasi za kupita ambazo lazima upitieKweli mkuu wanashauri to follow your heart but don't forget to carry your brain with you
Asante Leo naona ubavu wako mvivu kuwepo jukwaaniKweli kabisa mkuu
Kwani ilikuwa ni kitu gani vile ... mie huwa napenda picha...na ndizo ninazozielewa mno..Mwanzo ilionekana ila now hata mi nashangaa
Labda tuwaulize mods
Nami nikutakie wewe mandalizi mema ya pasaka ukimaliza mandalizi mi nitakuletea ndizi na maparachichi kwaajili ya kuongeza ubora wa sikukuuAhsante mahondaw penda sana wewe kutoka moyoni nikutakie msimu mwema wa pasaka wenye wingi wa furaha.