Daah! Umejuaje mana matunda ndio ugonjwa wangu.Nami nikutakie wewe mandalizi mema ya pasaka ukimaliza mandalizi mi nitakuletea ndizi na maparachichi kwaajili ya kuongeza ubora wa sikukuu
Asante mkuu ila pasaka nitaenda kusherekea kwa watuDaah! Umejuaje mana matunda ndio ugonjwa wangu.
Ahsante na kwako pia uwe na maandalizi mema.
Nami nikutakie wewe mandalizi mema ya pasaka ukimaliza mandalizi mi nitakuletea ndizi na maparachichi kwaajili ya kuongeza ubora wa sikukuu
Sawa ila tumia tu ile kauli ya kuwa chakwako ni mhimu kuliko cha mwingine na ulipo shika shikilia usiachieHapana my dear kuna special case ndomana
Huyu yupo sambamba namimi kila sehemu sina wasiwasi kabisa
Hapo yupo bize ila ananifollow ohooooo
cc: Smart911
Nimecheka kwa sauti usijali nitaileta mkuuNamimi usisahau. Pia naile kitu inayopatikana sana na kwa bei rahisi huko ileee if possible ukuje nayo
Mndali ndanyelakakomu umesikia hivyo uongeze idadi.Kumbe nawewe nikama mimi shoga lol
Safiiiiiii
Nimeisikia hiyo nitaleta vya kutoshaMndali ndanyelakakomu umesikia hivyo uongeze idadi.
Fanya hima mkuu 2015 nilikua huko asee nilitoka nimenona si Mchezo ile kitu na ndizi choma afu pembeni kulikua na mama mmoja Anauza maziwa fresh 1st draft mazitoooo yani kitu hakina hata majii karibia Kila asubuhi na Jioni nakunywaNimecheka kwa sauti usijali nitaileta mkuu
Mkuu hivi vyote nitabeba maana nitakodi fuso aanda tu stooFanya hima mkuu 2015 nilikua huko asee nilitoka nimenona si Mchezo ile kitu na ndizi choma afu pembeni kulikua na mama mmoja Anauza maziwa fresh 1st draft yani kitu hakina hata majii
Nilijaa si Mchezo
Sawa ila tumia tu ile kauli ya kuwa chakwako ni mhimu kuliko cha mwingine na ulipo shika shikilia usiachie
aiii, mmmmhhhh! yaani mimi mahondawa hajanitajaπππππππππππ
ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hapo sawa, ahsante kwa kuniona hahahaha ahsante sanaOops ni makosa madogo madogo tu CHIKIRA MTABARI niwie radhi tupo pamoja sana mkuu
Nakupata nakupata sana mkuu ukikosa omba hata lift ya mizigo kwenye long vehicles zinazotoka zambia mimi nitapokea huo mzigoMkuu hivi vyote nitabeba maana nitakodi fuso aanda tu stoo
Amina amina, inshallah mahondawPamoja sana mkuu nakutakia wiki njema ya kazi mkuu