Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Daah! Umejuaje mana matunda ndio ugonjwa wangu.Nami nikutakie wewe mandalizi mema ya pasaka ukimaliza mandalizi mi nitakuletea ndizi na maparachichi kwaajili ya kuongeza ubora wa sikukuu
Ahsante na kwako pia uwe na maandalizi mema.