Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Sawa mkuu ila jua wapo wanao jua kushawishi sana wanaweza wakamchukuaAsante mkuu
Nipo makini sana na namuamini sana Smart911 yupo makini sio mtu wa kushobokea sketi sema sketi ndo zinamshobokea haha
Ana kismart kama jina lake lol
Wacha nifunge domo langu
Mkuu huwa siombi lifti mim huwa naagiza tu wapitie sehemu fulani wachukue nitakacho waagiza ila hiyo kitu nitaiweka kwenye like limfiko linaitwa shangazi kaja mtu hawezi kugunduaNakupata nakupata sana mkuu ukikosa omba hata lift ya mizigo kwenye long vehicles zinazotoka zambia mimi nitapokea huo mzigo
Ila sasa ile kitu fanya hima uifunge vizuri beibee asiione ile
Sio kirahisi mkuu namuaminiii afu namtunza kama yaiiiSawa mkuu ila jua wapo wanao jua kushawishi sana wanaweza wakamchukua
Leo unanifanya nicheke tu kwa sauti basi nimeahirisha kukupa ukweli maana ile kauli yangu ya Jana inaonekana inaishi kwakoSio kirahisi mkuu
He is a man of principles
Ukishoboka hahaha
Anakucheka kwa dharaaaau
Mndali ndanyelakakomu sssssssshhhhhhhhh tupaache yaishe bebii asijue
Yaishie hapahapa usimwambie mtu
Cc: @ Smart911
Mkuu huwa siombi lifti mim huwa naagiza tu wapitie sehemu fulani wachukue nitakacho waagiza ila hiyo kitu nitaiweka kwenye like limfiko linaitwa shangazi kaja mtu hawezi kugundua
Mkuu mi sio boss ila Nina marafiki zangu ambao nimefanya nao kazi kampuni moja miaka ya nyuma kidogo wao walibaki kwenye kazi mi niliondoka hao ndo huwa nawatumia kama kuna mzigo napeleka sehemuLol Kumbe nawewe ni big boss mkuu hongera sana
Maboss ndo huwa wanaamri tu njoo hapa pita kule Peleka pale Safi sana mkuu
Leo unanifanya nicheke tu kwa sauti basi nimeahirisha kukupa ukweli maana ile kauli yangu ya Jana inaonekana inaishi kwako
Sawa mkuu ila mi hata kama nikijua anamwingine sikuambii maana mi nilisha ambiwa kumsema mwanaume mwezio kwa mwanamke ni uvulana na siwezi kuwa mvulanaEee jana ulinifunza kitu cha msingi sana binadamu sisi sio mifugo
Nadhani utakua ushanipata mkuu View attachment 490594
Ila kama kuna kaubuyu nakuja chemba tuzungumze kiutu uzima
Mambo ya kiutu uzima nisiriiiii
Sitareact chochote wala ndokwanzaaa nitaongeza upendo mpaka ashangae
Sawa mkuu ila mi hata kama nikijua anamwingine sikuambii maana mi nilisha ambiwa kumsema mwanaume mwezio kwa mwanamke ni uvulana na siwezi kuwa mvulana
Mkuu ni maneno ya kawaida tu ila ukiyatimiza kwa vitendo huwa yana faida sanaBravo mkuu wherayuuuuu!
Popote ulipo hebu pata kinywaji chochote unachopenda mkuu
Hii comment yako natamani kuwatag team snitch ila mh
Wacha nifunge domo langu
Mkuu mi sio boss ila Nina marafiki zangu ambao nimefanya nao kazi kampuni moja miaka ya nyuma kidogo wao walibaki kwenye kazi mi niliondoka hao ndo huwa nawatumia kama kuna mzigo napeleka sehemu
naisogeza kiainaAsante sana dear blue Monday njema
Sawa mkuu ukiwa na mzigo uko huku we nishtue tu unakufikia bila shidaAhaa nimekuelewa mkuu pamoja sana
Mkuu ni maneno ya kawaida tu ila ukiyatimiza kwa vitendo huwa yana faida sana
Sawa mkuu inatoshaKutimiza kwa vitendo kivipi mkuu??
Kuna moja moto moja baridi lakini??
Pata kinywaji bana umenikosha naile koment yako ya me kupeleka maneno yanayomuhusu me mwenzio kwa mwanamke ni...........
Wacha nifunge domo langu mie
cc: Smart911