Salamu zangu kwenu

Salamu zangu kwenu

Nakupata nakupata sana mkuu ukikosa omba hata lift ya mizigo kwenye long vehicles zinazotoka zambia mimi nitapokea huo mzigo
Ila sasa ile kitu fanya hima uifunge vizuri beibee asiione ile
Mkuu huwa siombi lifti mim huwa naagiza tu wapitie sehemu fulani wachukue nitakacho waagiza ila hiyo kitu nitaiweka kwenye like limfiko linaitwa shangazi kaja mtu hawezi kugundua
 
Mkuu huwa siombi lifti mim huwa naagiza tu wapitie sehemu fulani wachukue nitakacho waagiza ila hiyo kitu nitaiweka kwenye like limfiko linaitwa shangazi kaja mtu hawezi kugundua

Lol Kumbe nawewe ni big boss mkuu hongera sana
Maboss ndo huwa wanaamri tu njoo hapa pita kule Peleka pale Safi sana mkuu

cc: Smart911
 
Lol Kumbe nawewe ni big boss mkuu hongera sana
Maboss ndo huwa wanaamri tu njoo hapa pita kule Peleka pale Safi sana mkuu
Mkuu mi sio boss ila Nina marafiki zangu ambao nimefanya nao kazi kampuni moja miaka ya nyuma kidogo wao walibaki kwenye kazi mi niliondoka hao ndo huwa nawatumia kama kuna mzigo napeleka sehemu
 
Haka kathread sijui nimetajwa??

Ngoja kwanza nimalizie ugoro wangu.
 
Leo unanifanya nicheke tu kwa sauti basi nimeahirisha kukupa ukweli maana ile kauli yangu ya Jana inaonekana inaishi kwako

Eee jana ulinifunza kitu cha msingi sana binadamu sisi sio mifugo
Nadhani utakua ushanipata mkuu View attachment 490594

Ila kama kuna kaubuyu nakuja chemba tuzungumze kiutu uzima
Mambo ya kiutu uzima nisiriiiii
Sitareact chochote wala ndokwanzaaa nitaongeza upendo mpaka ashangae
 
Sawa mkuu ila mi hata kama nikijua anamwingine sikuambii maana mi nilisha ambiwa kumsema mwanaume mwezio kwa mwanamke ni uvulana na siwezi kuwa mvulana
 
Sawa mkuu ila mi hata kama nikijua anamwingine sikuambii maana mi nilisha ambiwa kumsema mwanaume mwezio kwa mwanamke ni uvulana na siwezi kuwa mvulana

Bravo mkuu wherayuuuuu!
Popote ulipo hebu pata kinywaji chochote unachopenda mkuu

Hii comment yako natamani kuwatag team snitch ila mh

Wacha nifunge domo langu
 
Mkuu ni maneno ya kawaida tu ila ukiyatimiza kwa vitendo huwa yana faida sana

Kutimiza kwa vitendo kivipi mkuu??
Kuna moja moto moja baridi lakini??
Pata kinywaji bana umenikosha naile koment yako ya me kupeleka maneno yanayomuhusu me mwenzio kwa mwanamke ni...........

Wacha nifunge domo langu mie

cc: Smart911
 
Back
Top Bottom