Salamu zangu kwenu


Thanks for your sweet wishes mamito nawewe mungu akujaalie ufanikishe na kukutimizia haja za moyo wako
I and my sweetheart tunakutakia kazi njema yenye baraka tele
We love you too friend

Cc Smart911
 
Asprin babuu Ni salamu tu umetumiwa
Salamu za jumapili muruaaa( jana) wiki njema ya kazi na msimu mwema wa sikukuu ya pasaka
Huyu aliyenisalimu tafadhali mfikishie hizi salamu zangu za baraka...

Amebarikiwa yeye na uzao wake wote. Hakika shetani hataweza kumshinda kwa hila kwa maana, mimi babu yake nimemfunika kwa upako mtakatifu...
 
Kalikua kapicha uchwara tu wewe si unapenda picha fulani hivi zilizonona?? Hako ni kapicha kenye maneno tu

Umejuaje wewe yaani kuna majitu ni soo genius... yaani kama mpiga tunguli... bas hope nitapata iliyo nona ... siku hizi uoni umekuwa hafifu sitaki kuzoom sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…