mzalendo Wa mANyANyA
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 111
- 44
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Daaah..!! Soma kijana.
jaman mm huku Jf Leo ndo nimekuwa na account Niko Serengeti
niwatakie jion njema wote
mm nim2mishi sio mwanafunziDaaah..!! Soma kijana.
umeona eeh ni hatarduh huu utambulisho bwanaaaaaaaaaaaaaa
mm ntakuwa huku kila Mara maana napapendaKaribu mkuu muhm husiwe absent kila wakat
asante sanaaaKaribu
jaman mm huku Jf Leo ndo nimekuwa na account Niko Serengeti
niwatakie jion njema wote
mm ntakuwa huku kila Mara maana napapenda
usijal bro picha yng nimeweka hapoSawa mkuu, obey the rule mods wacje kukufundsh adabu
usijal bro picha yng nimeweka hapo
Kwa Kiswahili ulichoandika hapo ni wazi kuwa bado uko shule tena ya msingi. Ni aibu kwa mtumishi kuandika kitu kama hicho ulichoandika wewe.mm nim2mishi sio mwanafunzi
Karibu sana mkuu lakini huo mkanda fanya uupeleke shoe shine ukapigwe rangi asee umepauka sana!!jaman mm huku Jf Leo ndo nimekuwa na account Niko Serengeti
niwatakie jion njema wote
Mtumishi wa kanisa gani?mm nim2mishi sio mwanafunzi