chawa mzee
Member
- Nov 8, 2016
- 20
- 1
Huku ni kwa ma great thinker kijana! Tunaitana MKUU! Alafu mwanaume usipende kusifiwa sio tabia nzuri.Nlikua na mpango wa kutupia photo zangu humu ila inaonekana ni kama kosa la Jinai unaweza hata kufunguliwa kesi basi siweke tena.
Mara sijui mkanda umepauka aisee ukiweka picha humu inabd ujipangee sawia
Ila mbona kama zile za upande mwingine zinasifiwa sana hata kama hazijakizi viwango??
Ila sidhani kama Ndugu alikua na nia hiyo.Huku ni kwa ma great thinker kijana! Tunaitana MKUU! Alafu mwanaume usipende kusifiwa sio tabia nzuri.
Ni elewe huku ni kwa ma GREAT THINKERIla sidhani kama Ndugu alikua na nia hiyo.
Kaweka kama utambulisho tu
Kwanza alitakiwa apongezwe sana ni wachache sana wenye ujasiri huo humu.
Ayaa...solution atoe iyo picha au sababu huku nikwa ma Great Thinker?Ni elewe huku ni kwa ma GREAT THINKER
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu sana mkuu lakini huo mkanda fanya uupeleke shoe shine ukapigwe rangi asee umepauka sana!!
asante sanaKaribu
sio m2mish ila serikaln (mwl)Mtumishi wa kanisa gani?
haya ntaupeleka mkuuKwa Kiswahili ulichoandika hapo ni wazi kuwa bado uko shule tena ya msingi. Ni aibu kwa mtumishi kuandika kitu kama hicho ulichoandika wewe.
jaman nimeona wa2 wananitukana et kisw kibov alaf mda mwngn tusimtazame MTU kwa umbile lake naona mmeisha sema mm mwanfnz et mngejua msingesemaaaa aiseee ila ndo hamjui alaf hy ksw nimeamua tu nipge swaga
hvy viat umeshindwa hata kubrush et mwalim wa shule ya msingi serengeti?jaman mm huku Jf Leo ndo nimekuwa na account Niko Serengeti
niwatakie jion njema wote
bro mazingira huku magum sanaaa so acha tukoomae etiiiihvy viat umeshindwa hata kubrush et mwalim wa shule ya msingi serengeti?
na huo mkanda umechoka sana,mwisho wa mwezi kanunue mwingine!
#viatu+mkanda=inafanana na hyo sakafu vumbi