Salamu

Tuma fursa zozote HALALI unazozijua zenyekufaa mwaka 2018. Zenye uwezo wa kutengeneza pesa fasta na kubadil maisha yetu
 
Tuma fursa zozote HALALI unazozijua zenyekufaa mwaka 2018. Zenye uwezo wa kutengeneza pesa fasta na kubadil maisha yetu
Ni kilema kikubwa tulichonacho watz kufikiria "pesa ya fasta" ndio sababu ya pesa haramu. Pesa halali huja taratibu ikiongezeka
 
Jaman nataka kuwekeza ktk bodaboda ,
Nataka kuweka bodaboda mbili ktk kila jiji yaan Mwanza ,Dar es salaam, Arusha, Tanga na Mbeya napanga malipo ya kila siku yawe 10,000/= au 8000/= . lakn naweka option kwa marejesho ya 10,000 /= kila siku ni miez 12 tu kisha pikipiki namwachia dereva vinginevyo itabd iwe mikataba ya muda mfupi.
Karibuni maoni yenu najipanga kufanya hivo mtaji ninao this moment.
NIKOSOE, NISHAURI, NITIE MOYO AU NIVUNJE MOYO KWA HOJA MADHUBUTI KARIBUNI NDUGU ZANGU
by billionaire investor.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…