Billionaire investor
Member
- Dec 29, 2017
- 20
- 7
habar VP wana jf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nini hii mr Investor?![emoji86] [emoji85]habar VP wana jf?
Ni kilema kikubwa tulichonacho watz kufikiria "pesa ya fasta" ndio sababu ya pesa haramu. Pesa halali huja taratibu ikiongezekaTuma fursa zozote HALALI unazozijua zenyekufaa mwaka 2018. Zenye uwezo wa kutengeneza pesa fasta na kubadil maisha yetu
Sasa mzee pesa ya fasta kwa shughur halali ni DHAMBI?Ni kilema kikubwa tulichonacho watz kufikiria "pesa ya fasta" ndio sababu ya pesa haramu. Pesa halali huja taratibu ikiongezeka
Cheza bikohabar VP wana jf?
Pesa fasta mzee!? Unaweza ukajikuta unapoteza kila kitu ulichowekeza maana yake utakuwa unafanya gambling!!Sasa mzee pesa ya fasta kwa shughur halali ni DHAMBI?
Uwe positively motivated bas
Kwan ww ndo CEO wa JF au?karibu mkuu,hujakaribishwa unaenda mpaka chumbani,lol
Kwan ww ndo CEO wa JF au?
ForexTuma fursa zozote HALALI unazozijua zenyekufaa mwaka 2018. Zenye uwezo wa kutengeneza pesa fasta na kubadil maisha yetu
UsikaliliPesa fasta mzee!? Unaweza ukajikuta unapoteza kila kitu ulichowekeza maana yake utakuwa unafanya gambling!!
Hahaaa leo mpe papa ale ashibe. Aachane na changu aliowazoeamie ni mpishi humu,utakula nini mkuu?
Rebeca leta fursa apa tutengeneze maishamie ni mpishi humu,utakula nini mkuu?
Nielekeze boss hii imekaaje?Forex
mie ni mpishi humu,utakula nini mkuu?
Mtafute Ontario yupo humu humu atakupa kila kituNielekeze boss hii imekaaje?
Kwako ww Fanya usikalili acha mi niendelee kukalili hivyo mkuuUsikalili