Kwa kukuibia tu, ukiajiriwa na Jeshi la Polisi, Magereza au TPDF ukitoka vyuo vyao hata kama una degree itakubidi ukae muda mpaka utakapokuwa promoted kuwa ofisa wa ngazi ya mkaguzi au luteni usu.
Ni lini utafika huko inategemeana na system ilivyo shapu katika kuwapromote.
Roughly inaweza kuchukua hata mwaka mmoja na nusu au miwili kabla ya kufikia kuwa promoted.
Hivyo kwa kipindi chote utakachokuwa hujapadishwa cheo utakuwa unapata mshahara belowa your level.
Ukipandisha mshahara unafanan sasa na yule graduate anayeajiriwa nje na kulipwa TGSD.
Kazi kwako.