Salary for Degree Graduate Police

Salary for Degree Graduate Police

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
Wandugu hivi mtu mwenye degree Police anapokea ngapi kwa mwezi
Nataka niende ila nasita.
 
Kwa kukuibia tu, ukiajiriwa na Jeshi la Polisi, Magereza au TPDF ukitoka vyuo vyao hata kama una degree itakubidi ukae muda mpaka utakapokuwa promoted kuwa ofisa wa ngazi ya mkaguzi au luteni usu.

Ni lini utafika huko inategemeana na system ilivyo shapu katika kuwapromote.

Roughly inaweza kuchukua hata mwaka mmoja na nusu au miwili kabla ya kufikia kuwa promoted.

Hivyo kwa kipindi chote utakachokuwa hujapadishwa cheo utakuwa unapata mshahara belowa your level.

Ukipandisha mshahara unafanan sasa na yule graduate anayeajiriwa nje na kulipwa TGSD.

Kazi kwako.
 
kwa sasa police graduate anaanzia mshahara mkubwa kidogo kama 350,000 hadi 400,000
 
mmh mkuu huo ndo mkubwa?

Kwani mkuu graduate aliyeajiriwa halmashauri akawa analipwa TGSD unajua ni kiasi gani?

Kiukweli tu viwango vya mishahara ya watumishi wa umma bado vipo chini.
 
Kwani mkuu graduate aliyeajiriwa halmashauri akawa analipwa TGSD unajua ni kiasi gani?

Kiukweli tu viwango vya mishahara ya watumishi wa umma bado vipo chini.

kwakweli sijui hivyo viwango vya TGS,lakini tukizungumzia hali halisi ya maisha kwa sasa hyo pesa ni ndogo mnooo....sheeee....kumbe ukitaka kulalamika kuti lako kavu angalia kwanza alilokalia mwenzako.
 
Hayo ndio maboresho ya IGP Mwema awli walikuwa wkilipwa sawa na form four hadi wapande vyeo baada ya miaka mingi sana

dah..inasikitisha sana hasa ukizingatia jinsi wanavyotumiwa na watawala kwa manufaa binafsi.
 
Back
Top Bottom