Salary ikitoka tupeane taarifa

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Kama salary imetoka naomb taarifa maana npo kijijin yaan kwa kifup sna source of information zaid ya Jf

Karibun wadau
 
Kama salary imetoka naomb taarifa maana npo kijijin yaan kwa kifup sna source of information zaid ya Jf
Karibun wadau
Mkuu unatakiwa ubadilike. Maisha ya kutegemea mshahara ni magumu sana. Anzisha kabiashara ka aina yoyote ile na kwa mtaji wowote ule, ili uweze kujikopesha wakati ukisubiria hiyo salary.

Binafsi nashukuru nimetoka huko kwenye utegemezi wa salary kwa 100%! Yaani ilikuwa hata wakichelewesha siku moja tu, akili inavuruga kabisa! Samahani sana kama nitakuwa nimekukwaza kwa huu ushauri wangu.
 
Best advice ...uko sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…