Wapi huko mkuu?? Na hizi 15% unategemea nn sasa?Aisee huku kwetu ni peupe kabisaaaa
Hahaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nategemea kuona haya zaidi mkuu
Acha umbea we binti yani uko bar unachunguza watu wanakunywa bia moja kwa masaa mangapi? hii kazi ya ubaamedi haikufai kabisa hauna siri wewe,ningemjua bosi wako ningemtafuta akufukuze leo leo...Ebo!Aisee huku kwetu ni peupe kabisaaaa
Unakwenda tu ivo ivo ili na wewe uonekane unazo, ukitaka kunukia shurti ukae na ua.Kwenda Bar ni fashion au?mtu unaanzaje kwenda Bar wakati mfukoni pakavu!