Salary imeisha sasahivii baa nyingi peupeee!!!!! Kuna jamaa apa bia moja anainywa 2 hours sasa.

Salary imeisha sasahivii baa nyingi peupeee!!!!! Kuna jamaa apa bia moja anainywa 2 hours sasa.

Hivi valuer hazijapigwa stop ee ? Au hawajui nazo ni noma mkuu?
Vilivyopigwa stop ni vifungashio/container sio pombe. Watatuwekea kwenye vyupa sio viroba.
 
Halafu watu waongo bana watu wanakunywa mpaka mda wakazi wew ukiwa huna hela tulia tu usingizie watu
 
Halafu watu waongo bana watu wanakunywa mpaka mda wakazi wew ukiwa huna hela tulia tu usingizie watu
Si wiki hii tuu wanakunya mchana mkuu! Ngoja tuletee mrejesho kuanzia wiki ijayo
 
Ebu tukumbushe Mara ya mwisho kuwa na za kuteketezwa ni lini mkuu?
Sikumbuki mkuu,siku hizi kabla hela sijaishika tayari ishaisha maana nimeongeza kanidhamu flani ka matumizi.Bar nazipita kwa mbaaali kabisa maana zipo mwishoni kabisa katika priority list yangu..
 
Back
Top Bottom