Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona mwezi wa 8 shs 19000 na mwezi wa 9 naona 6000
mwezi wa kumi -7000 simple maths eqnNiliona mwezi wa 8 shs 19000 na mwezi wa 9 naona 6000
Binafsi sijaelewa kabisamwezi wa kumi -7000 simple maths eqn
19,000 , 6,000 , -7000.
September waliweka 19,000. Oktoba wakapunguza 13,000 zikabaki 6,000 ambazo waliongeza. Subiri Oktoba, watapunguza 13,000 utabaki na hasi 7000. Kwa kifupi watakukata sh 7000.Binafsi sijaelewa kabisa
Wito utakuletea chakula mezani?Utumishi wa umma ni wito...haifai kuwaza pesa...
Ufafanuzi wa hii Kitu uko simple sana..Wana jf naomba kujuzwa.
Mshahara uliopita ulikuwa na incriment ya July. September kitu plain. Why
Utakacholipwa ndio stahiki yako mkuuWito utakuletea chakula mezani?
Kama hawalipwi allowance ya nyumba, usafiri, maji, umeme unataka waishi kwa miujiza au walale mitaroni......acha kuongea mambo kirahisi rahisi.Utakacholipwa ndio stahiki yako mkuu
Anakusumbua tu...Ufafanuzi wa hii Kitu uko simple sana..
Serikali ilisema itaongeza Increment ifikapo mwezi July 2023 lakini haikufanya hivyo...
So ikaja kufanya Increment mwezi August ikiwa na deni la July ambayo budget yake Ilipita tayari kwenye Mpango ulikuwa implemented...
angalia mfano hapa chini..
Imagine wewe mshahara wako ni 1,200,000/-
Wenye Scale TGX1 wenye nyongeza ya kila mwaka ya Tsh 21,000/-
Mshahara wako August ulisoma kama ifuatavyo kwenye Salary slip..
Scale yake ilichange kutoka TGX1 kwenda TGX2 kuonyesha kwamba Umefanyiwa Increment ya step 1 ahead....
Mshahara wako basic uliandikwa 1,221,000/- badala ya 1,200,000/-
Lakini chini ya mshahara wako basic kulikuwa na maandishi yaliyoandikwa salary as per july 2023.. ambapo iliongeza kiasi cha Tsh 21,000/- (Kulingna na mfano naoendelea kuutolea)
Hii inamaanisha kwamba deni la July kwakuwa hukupata pesa lililipwa na Pesa hiyo iliyoongezwa hiyi 21,000/
Hivyo kufanya mwezi August mshahara wako Uwe 1,242,000/-
Ongezeko hili halikumaanisha kwamba Pesa yote hiyo ilikuwa increment bali kulikuwa na increment plus Deni...
Sasa mwezi wa Tisa pale ambapo ulianza kupokea increment yako Ya kawaida na mshahra wako wa kawaida then ukapara 1,221,000/
utaiona ndogo kozi ile ya mwezi wa nane haikuwa yote Increment ilikuwa ni increment plus deni la Increment la mwezi wa saba...
i think umenielewa
IPO likizoWana jf naomba kujuzwa.
Mshahara uliopita ulikuwa na incriment ya July. September kitu plain. Why
Acha ku generalize mambo, siyo wote waliolipwa madeni ya increment za nyuma.Ufafanuzi wa hii Kitu uko simple sana..
Serikali ilisema itaongeza Increment ifikapo mwezi July 2023 lakini haikufanya hivyo...
So ikaja kufanya Increment mwezi August ikiwa na deni la July ambayo budget yake Ilipita tayari kwenye Mpango ulikuwa implemented...
angalia mfano hapa chini..
Imagine wewe mshahara wako ni 1,200,000/-
Wenye Scale TGX1 wenye nyongeza ya kila mwaka ya Tsh 21,000/-
Mshahara wako August ulisoma kama ifuatavyo kwenye Salary slip..
Scale yake ilichange kutoka TGX1 kwenda TGX2 kuonyesha kwamba Umefanyiwa Increment ya step 1 ahead....
Mshahara wako basic uliandikwa 1,221,000/- badala ya 1,200,000/-
Lakini chini ya mshahara wako basic kulikuwa na maandishi yaliyoandikwa salary as per july 2023.. ambapo iliongeza kiasi cha Tsh 21,000/- (Kulingna na mfano naoendelea kuutolea)
Hii inamaanisha kwamba deni la July kwakuwa hukupata pesa lililipwa na Pesa hiyo iliyoongezwa hiyi 21,000/
Hivyo kufanya mwezi August mshahara wako Uwe 1,242,000/-
Ongezeko hili halikumaanisha kwamba Pesa yote hiyo ilikuwa increment bali kulikuwa na increment plus Deni...
Sasa mwezi wa Tisa pale ambapo ulianza kupokea increment yako Ya kawaida na mshahra wako wa kawaida then ukapara 1,221,000/
utaiona ndogo kozi ile ya mwezi wa nane haikuwa yote Increment ilikuwa ni increment plus deni la Increment la mwezi wa saba...
i think umenielewa
Hakuna mahali kwenye Maelezo yangu nimesema kwamba Mtu kalipwa increment za nyuma..Acha ku generalize mambo, siyo wote waliolipwa madeni ya increment za nyuma.