Bila kusahau ration, pesa ya chakula cha mchana ukiwa kazini.Kiukweli mama na sisi watumishi wengine tunataka tupewe allowance ya maji,umeme na Kodi ya nyumba maana ata sisi tunakatwa Kodi kwanini kuwe na upendeleo na maisha ni hayahaya wote magumu!