N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Oct 10, 2023 #21 Mtimkavuorg said: Kiukweli mama na sisi watumishi wengine tunataka tupewe allowance ya maji,umeme na Kodi ya nyumba maana ata sisi tunakatwa Kodi kwanini kuwe na upendeleo na maisha ni hayahaya wote magumu! Click to expand... Bila kusahau ration, pesa ya chakula cha mchana ukiwa kazini.
Mtimkavuorg said: Kiukweli mama na sisi watumishi wengine tunataka tupewe allowance ya maji,umeme na Kodi ya nyumba maana ata sisi tunakatwa Kodi kwanini kuwe na upendeleo na maisha ni hayahaya wote magumu! Click to expand... Bila kusahau ration, pesa ya chakula cha mchana ukiwa kazini.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Oct 10, 2023 #22 Nyumisi said: Kama hawalipwi allowance ya nyumba, usafiri, maji, umeme unataka waishi kwa miujiza au walale mitaroni......acha kuongea mambo kirahisi rahisi. Click to expand... Unajua maana ya utumishi wa umma?
Nyumisi said: Kama hawalipwi allowance ya nyumba, usafiri, maji, umeme unataka waishi kwa miujiza au walale mitaroni......acha kuongea mambo kirahisi rahisi. Click to expand... Unajua maana ya utumishi wa umma?