Salary out Dec 2019

Salary out Dec 2019

Leo ni mwendo wa kuwaringishia wafanyabiashara, unajifanya unataka kununua nyama mara unaghairi, ukienda kwenye duka kununua sukari unaghairi tena, hadi wakome kuwasema wafanyakazi.
 
Ngoje ikifika huo mwezi uambiwe kuna riba ya 3.2 mil bado unadaiwa.
Kama haipungui kwako ni wewe ...... Na kama hufuatilii ni wewe ... Wife kamaliza mwezi uliopita tu .... Na huu imeshuka chini kwenye take home ..... Mfuatiliage makato yenu kwa waajiri wenu
 
Mshahara wenyewe haufiki hata milioni 5! Wengi unaweza kukuta take home laki 7,8,9 hela ambayo kimsingi sio nyingi wala hupaswi kuishangilia sana na kwenda kulewa, kuhonga Malaya, kutoa ofa za kizembe zembe! Hela hiyo ilipaswa kununua vitu muhimu tu
 
Back
Top Bottom