Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habali
Kwa wale watumishi watiifu mshahara wenu umetoka mzee baba kawawaishia tarehe 5jan 2020 mtakuwa mmechoka hatarii.Muwe waangalifu happy holiday.
hata mm washikaji ndio wananistua hapa ofisini kuchek simu bank imooo haya sasa wenye povu wajeWaoooooooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwaaah mshahara huwa nakupenda sana jaman mwaaah mwaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe kwa CV uliyonayo unaishi kwa kutegemea mshahara?Waoooooooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwaaah mshahara huwa nakupenda sana jaman mwaaah mwaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ana pub huyoo ha haNa wewe kwa CV uliyonayo unaishi kwa kutegemea mshahara?
Pia nachukua nafasi hii kuwambia kamshahara kamenenepa sijui ni hizi mvua[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]Habali
Kwa wale watumishi watiifu mshahara wenu umetoka mzee baba kawawaishia tarehe 5jan 2020 mtakuwa mmechoka hatarii.Muwe waangalifu happy holiday.
hata mm ndoo naona hapa ila kiukweli salary tamu jamaniiiKitu kimetoka. Nachekelea tu hapa ofisini.
Kwa furaha hizi hiyo ngoma imeshaisha mpaka sasaWaoooooooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwaaah mshahara huwa nakupenda sana jaman mwaaah mwaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumikia waphata mm washikaji ndio wananistua hapa ofisini kuchek simu bank imooo haya sasa wenye povu waje
moja ya mashirika ya ummaUnatumikia wap
kimpango wakooo
hata mm washikaji ndio wananistua hapa ofisini kuchek simu bank imooo haya sasa wenye povu waje
Na wewe kwa CV uliyonayo unaishi kwa kutegemea mshahara?