Salary ya Mbwana Samatta

japo siyo ndugu yangu kikabila wala kidini, ila ni mtanzania mwenzangu. kwa huo mshahara wa 20k$ bado ni ndogo mnoooo, mi namuombea kwa mola afikie level ya kulipwa 250k-500k$+ per week. big up samata big up Tanzania.
 
Hapo tax imeshaondolewa kaka, kuna makato ya "TRA" ya huko na ile ya wanayotozwa wachezaj wa kigeni.
Hakuna TRA huko hahahahahaha labda ungesema BRA. Tanzania revenue authority. Bora Belgium's Revenue Authority
 
Mnashindwa kutofautisha kati ya dola na shilingi.
Hizo hela kwa kule marekani ni kiasi kidogo sanaa. Usisahau mtu Ana matumizi yake binafsi. Na gharama za maisha za marekani ni kubwaaa
 
Kweli aisee...hiyo hela unaweza ukaiona nyingi kibongo bongo ila kwa kule ikawa si nyingi sana kutokana level ya maisha yao...bills nyingi..
Vipi na maisha anayoishi...kwa ufahamu wangu mshahara unalipwa kulingana na gharama za maisha....unaweza kuta anatumia kwa mwezi milioni 40
 
Kuna sehemu nilisoma kwamba mwamba ana zaa ovyo ovyo hela nyingi inaishia kwenye child support...
 
Jamaaa yuko vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…