Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Ccm itoke iende wapi? Mimi ni mtumishi ila sina mpango wa kupigia wapinzani kura yangu.Masikini watumishi!!!
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawaaa....Wacanada wanamidai pesa zao fanyeni muwalipe hatuna aibu sisiCcm itoke iende wapi? Mimi ni mtumishi ila sina mpango wa kupigia wapinzani kura yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app