Kwa ndugu zangu wachagga natumaini mtakuwa mnaujua mtii huu, Sale (Isale) ambao ni mti wa asili kwa imani za asili za kabila la wachagga.
Nimejaribu sana kuugoogle na hata kuulizia mti huu kwa jina la kingereza au kikitaalamu lakini sikupata jibu au majibu.
Hivyo naomba kwa yule mwenye ufahamu wa mti huu anijuze.
Zaidi natanguliza shukrani zangu kwenu.
Wasalaam, Kurunzi.
Nadhani huu mmea unatumiwa pia na makabila mengine. Kwa mfano wahaya wanauita EKILAMULA na unatumika katika kuweka mipaka ya mashamba na pia kuwa alama ya makaburiHuu mmea ni kweli una nafasi kubwa sana katika mila za Wachagga, kwanza kuwekea mipaka ya vihamba, hutumika pia katika kuombea msamaha kwa mtu uliyemkosea, pia hupandwa makaburini kuonyesha makao ya mwisho ya mwili wa marehemu, Kwa kiswahili si ufahamu wala kiingereza ila Isale ni mmea wakipekee kwa jadi ya wachagga.
Kwa ndugu zangu wachagga natumaini mtakuwa mnaujua mtii huu, Sale (Isale) ambao ni mti wa asili kwa imani za asili za kabila la wachagga.
Nimejaribu sana kuugoogle na hata kuulizia mti huu kwa jina la kingereza au kikitaalamu lakini sikupata jibu au majibu.
Hivyo naomba kwa yule mwenye ufahamu wa mti huu anijuze.
Zaidi natanguliza shukrani zangu kwenu.
Wasalaam, Kurunzi.
Kwa ndugu zangu wachagga natumaini mtakuwa mnaujua mtii huu, Sale (Isale) ambao ni mti wa asili kwa imani za asili za kabila la wachagga.
Nimejaribu sana kuugoogle na hata kuulizia mti huu kwa jina la kingereza au kikitaalamu lakini sikupata jibu au majibu.
Hivyo naomba kwa yule mwenye ufahamu wa mti huu anijuze.
Zaidi natanguliza shukrani zangu kwenu.
Wasalaam, Kurunzi.
Mi nadhani unaitwa dracaena fragansKurunzi na Bubu Msemaovyo,
Mti huo kwa kichaga unaitwa Isale na kwa kipare unaitwa isae kwa kitaalamu unaitwa Dracaena mannii
Karibu,
Haya sasa Kurunzi leta habari zaidi ya huu mti, si umeona Bubu Msemaovyo amelianzisha taratibu .
Mi nadhani unaitwa dracaena fragans
Kurunzi na Bubu Msemaovyo,
Mti huo kwa kichaga unaitwa 'Isale" na kwa kipare unaitwa 'isae" kwa kitaalamu unaitwa 'Dracaena mannii'
Karibu,
Haya sasa Kurunzi leta habari zaidi ya huu mti, si umeona Bubu Msemaovyo amelianzisha taratibu….
Nimejaribu ku google hilo jina hapo juu lakini napata result ambayo inaonekana ni mti tofauti kwani ISALE huwa haitoji matunda tofauti na huu uliuonyesha hapa.
Nadhani huu mmea unatumiwa pia na makabila mengine. Kwa mfano wahaya wanauita EKILAMULA na unatumika katika kuweka mipaka ya mashamba na pia kuwa alama ya makaburi