Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747

Kwa ndugu zangu wachagga natumaini mtakuwa mnaujua mtii huu, Sale (Isale) ambao ni mti wa asili kwa imani za asili za kabila la wachagga.
Nimejaribu sana kuugoogle na hata kuulizia mti huu kwa jina la kingereza au kikitaalamu lakini sikupata jibu au majibu.
Hivyo naomba kwa yule mwenye ufahamu wa mti huu anijuze.
Zaidi natanguliza shukrani zangu kwenu.
Wasalaam, Kurunzi.
