salehe ally makala hii ulinena ukweli kabisa kuhusu jay dee

salehe ally makala hii ulinena ukweli kabisa kuhusu jay dee

Wote mliochangia mmenifurahisha sana,sasa ukweli umeanza kujulikana na wananchi watapima nani mkweli na ninani muongo,wapi bwa 'nchuchu!!!!! Heloo!!
 
alisahau kora alibebwa sana jina la .... Likakatwa likapelekwa la kwake.
Kipindi hiko mke wa boss.
Btn msisahau wote wafanyabiashara tu.
Mwisho wa siku watapatanishwa na waziri wa starehe.

uuuuuuwiiiii, waziri wa starehee kiukweli utasikia anafanya masuluisho, saa ile bifu ya sugu itakua imerudi au laah
 
Back
Top Bottom