Salehe Jembe kamaliza mjadala wa Chama na Feisal

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Screenshot_2022-11-21-18-37-27-882_com.instagram.android~2.jpg
 
Huyu Saleh ukimtafakari juu Ya 'Oversize'......!

Ni Kama Namuona Feisal Kavaa 'Mchupi Mkubwa Mkubwa' hivi..
Sasa Akitembea Unamvuka unadondoka..!
Lugha Ya picha hiyo..
 
chama na faisal wamekutana mechi zaidi ya 5 kwa kumbukumbu za haraka chama kaonekana mechi moja tu ya ushindi wa 4-1 tangu hapo ajawahi fanya jambo lolote la maana

ila jamaa anasema wamekutana na faisal anaujua mziki wa chama, unatafuta mziki gani huo upati

basi unagundua ni mahaba ya jamaa kwa chama ila kiuwezo chama kwa faisal hamfikiii
 
Anadai wamekutana mara kadhaa inamaanisha ni kwenye derby sasa je kitakwimu ni derby ipi huyo chama kaonyesha mpira mkubwa ukiondoa ile ambayo Yanga alifungwa goli 4-1? Tumesahau derby kibao chama anatolewa sub? Au tumesahau marehemu Hanspope alipokamlaumu chama kwa kucheza chini ya kiwango kwenye derby?
 
chama na faisal wamekutana mechi zaidi ya 5 kwa kumbukumbu za haraka chama kaonekana mechi moja tu ya ushindi wa 4-1 tangu hapo ajawahi fanya jambo lolote la maana

ila jamaa anasema wamekutana na faisal anaujua mziki wa chama, unatafuta mziki gani huo upati

basi unagundua ni mahaba ya jamaa kwa chama ila kiuwezo chama kwa faisal hamfikiii

Wewe mbona hujasema Faisal alionekana mara ngapi katika hizo mechi 5...!!
Tuambie ni mechi ipi au ni ngapi kati ya hizo 5 Faisal aling'aa kama alivyong'aa Chama katika hiyo moja ambayo Simba ilishinda 4-1.
 
Hiyo ya 4-1 goli hilo moja alifunga Feisal, walipokutana fainali FA Feisal akawalaza saa 12 jioni
 
Ukisikia watu wanampamba Chama hutaamini ni huyu alienda Berkene akashindwa vibaya, ikabidi arudi Simba.
 
chama na faisal wamekutana mechi zaidi ya 5 kwa kumbukumbu za haraka chama kaonekana mechi moja tu ya ushindi wa 4-1 tangu hapo ajawahi fanya jambo lolote la maana

ila jamaa anasema wamekutana na faisal anaujua mziki wa chama, unatafuta mziki gani huo upati

basi unagundua ni mahaba ya jamaa kwa chama ila kiuwezo chama kwa faisal hamfikiii
Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards ni mazuzu sijapata kuona.

Akitokea hata Taahira yeyote akiropoka lolote wanamuamini

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
chama na faisal wamekutana mechi zaidi ya 5 kwa kumbukumbu za haraka chama kaonekana mechi moja tu ya ushindi wa 4-1 tangu hapo ajawahi fanya jambo lolote la maana

ila jamaa anasema wamekutana na faisal anaujua mziki wa chama, unatafuta mziki gani huo upati

basi unagundua ni mahaba ya jamaa kwa chama ila kiuwezo chama kwa faisal hamfikiii
 
Kaandika ukweli kabisa msimfananishe fei na role model wake.
 
Back
Top Bottom