Salehe Jembe kamaliza mjadala wa Chama na Feisal

Salehe Jembe kamaliza mjadala wa Chama na Feisal

Aweke Takwimu zao tuone nani zaidi

Kwani we mpaka uletewe takwimu mbona simple tuu..chama kaipeleka simba makundi na robo fainali CAFCL zaidi ya mara moja..

Kawa MVP ligi ya tanzania mara mbili mfululizo.
Sasa baba unataka takwimu gani tena[emoji23][emoji23]

Haya fei kaisaidia yanga kuipeleka wapi CAFCL?

MUDA WAKE UTAFIKA TU.
 
SALEHE ACHANA NA WANAOKULAZIMISHA KUVAA OVERSIZE YA EDO KUMWEMBE

Mzee edo kumwembe ni mwandishi tuu,saleh jembe ni mhariri mkuu wa magazeti ya champion kumwembe ni mdogo sana kwa saleh jembe
 
chama na faisal wamekutana mechi zaidi ya 5 kwa kumbukumbu za haraka chama kaonekana mechi moja tu ya ushindi wa 4-1 tangu hapo ajawahi fanya jambo lolote la maana

ila jamaa anasema wamekutana na faisal anaujua mziki wa chama, unatafuta mziki gani huo upati

basi unagundua ni mahaba ya jamaa kwa chama ila kiuwezo chama kwa faisal hamfikiii

Jamaa hujui mpira kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Hiyo ya 4-1 goli hilo moja alifunga Feisal, walipokutana fainali FA Feisal akawalaza saa 12 jioni
Kufunga goli sio kung'aa kama ndivyo basi mpira utakuwa hauna maana tena

Head to Head haina jipya sana , Tazama head to Head ya Al Ahly na Simba utagundua Ahly kashinda mara 2 na Simba mara 2 pia , Je, hii inamaanisha Simba inalingana ubora na Al Ahly?

Kwa kuwa Simba alifungwa na Kagera last season je, ni sawa tukisema Kagera ni bora kuliko Simba? Jibu ni Hapana.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hii fani ya uchambuzi na uandishi wa habari za michezo imeingiliwa na wapuuzi na mazuzu mmojawapo ni uyo saleh jembe
 
Kwaiyo 'Mchupi Umekuwa ' Oversize' Kwa Feisal ....!

Kwa hiyo Umempwaya UNAMDONDOKA DONDOKA...!
 
Huyu shoga ndo mnatuletea utumbo wake hapa, hana takwimu kati yao kwa mechi husika.
Nyie huwa mnajuana vipi? Mi hata sikuwa najua aiseee... Kweli waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba. Miaka yote sijui kuwa mpo hivyo.😁
 
Ubora wa mchezaji hauwezi kuwa maoni ya mtu, ubora wa mchezaji ni kashinda nini na team yake anayochezea na mchango wake una ukubwa gani kwenye team. Hawa wote wanachezea kikwetu team kubwa sasa mwenye mchango mkubwa kwa team yake na kuwezesha kufikia malengo makubwa ya team ndio unaweza kuweka static na ukaeleweka, lakini ukija na maoni tu huyu bora kuliko huyu tukiuliza kwa lipi? Kwangu mimi hawa wote wawili bado sana kufikia siku tukawaita yes hawa bora na sababu ninazo. Chama lazima adhihirishe ile katika stage ya Africa na Fey hivyo hivyo. japo kuwa naamini tunatabia ya kuwakuza wachezaji kupita uwezo wao, Fey mchezaji mzuri lakini sio kama kelele zetu. Na Chama ni hivyohivyo tunakuza makubwa huyu Chama team yao ya Taifa tu bench
 
chama na faisal wamekutana mechi zaidi ya 5 kwa kumbukumbu za haraka chama kaonekana mechi moja tu ya ushindi wa 4-1 tangu hapo ajawahi fanya jambo lolote la maana

ila jamaa anasema wamekutana na faisal anaujua mziki wa chama, unatafuta mziki gani huo upati

basi unagundua ni mahaba ya jamaa kwa chama ila kiuwezo chama kwa faisal hamfikiii
Utakua umeanza kushabikia mpira leo. Feisal amzidi Chama? Uko siriaz kabisa!
 
Anadai wamekutana mara kadhaa inamaanisha ni kwenye derby sasa je kitakwimu ni derby ipi huyo chama kaonyesha mpira mkubwa ukiondoa ile ambayo Yanga alifungwa goli 4-1? Tumesahau derby kibao chama anatolewa sub? Au tumesahau marehemu Hanspope alipokamlaumu chama kwa kucheza chini ya kiwango kwenye derby?
Hata iyo ya 4-1 feisal alikua ndo mchezaji ambae alionyesha uhai upande wa yanga sema timu kiujumla haikua na wachezaji wenye ubora kama sasa
 
Kwani we mpaka uletewe takwimu mbona simple tuu..chama kaipeleka simba makundi na robo fainali CAFCL zaidi ya mara moja..

Kawa MVP ligi ya tanzania mara mbili mfululizo.
Sasa baba unataka takwimu gani tena[emoji23][emoji23]

Haya fei kaisaidia yanga kuipeleka wapi CAFCL?

MUDA WAKE UTAFIKA TU.
Ndo mwandishi alotakiwa kuweka takwimu kuhalalisha hoja yake, uwezi kutoa hoja alafu ukaacha jukumu la kuwasilisha takwimu liwe la msomaji
 
Mzee edo kumwembe ni mwandishi tuu,saleh jembe ni mhariri mkuu wa magazeti ya champion kumwembe ni mdogo sana kwa saleh jembe
Kwani Salehe hayo maneno kayatamka au kayaandika
Nimekoment kulingana na alichokiandika issue ya uandishi, uhariri so kesi
 
Back
Top Bottom