Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Aweke Takwimu zao tuone nani zaidi
Kwani we mpaka uletewe takwimu mbona simple tuu..chama kaipeleka simba makundi na robo fainali CAFCL zaidi ya mara moja..
Kawa MVP ligi ya tanzania mara mbili mfululizo.
Sasa baba unataka takwimu gani tena[emoji23][emoji23]
Haya fei kaisaidia yanga kuipeleka wapi CAFCL?
MUDA WAKE UTAFIKA TU.