Sales Person Mtu wa Masoko katika kiwanda Cha Sembe.

Joined
Feb 14, 2015
Posts
46
Reaction score
38
Habari
Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Ya Unga wa Sembe, Dona, Pumba ya Mahindi.
Mashara : 300k ~ 600k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako.

Piga : / Whatsapp 0754397178
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…