Salii Teknik anaelekea kuwa mtayarishaji/producer bora wa Hip Hop Afrika

Salii Teknik anaelekea kuwa mtayarishaji/producer bora wa Hip Hop Afrika

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,138
Huyo Dogo anapiga midundo mitamu Sana, ile midundo yenyewe ya hiphop kama brooklyn, kwa sasa ameshatengeneza hasi 15 ya nash mc maisha ya mitaa nayo ya nash mc pamoja na shujaa nayo ni ya nash mc, hongera Sana kwake akaze buti ili afike mbali
FB_IMG_1523307784787.jpg
FB_IMG_1523307811927.jpg
FB_IMG_1523307681150.jpg
FB_IMG_1523307773197.jpg
FB_IMG_1523307884889.jpg
 
Wewe jamaa unapenda sana kuchukulia vitu vidogo kwa ukubwa zaidi
 
Back
Top Bottom