Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Huyo Dogo anapiga midundo mitamu Sana, ile midundo yenyewe ya hiphop kama brooklyn, kwa sasa ameshatengeneza hasi 15 ya nash mc maisha ya mitaa nayo ya nash mc pamoja na shujaa nayo ni ya nash mc, hongera Sana kwake akaze buti ili afike mbali