Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Mmmmhhhh!!!!!!!Hata mkuu wetu wa mkoa ni mkuu wa mkoa bora afrika
Ndo inavyotakiwaWewe jamaa unapenda sana kuchukulia vitu vidogo kwa ukubwa zaidi
Nash mchocheziNamuona hapo Nashiri Yusuf a.k.a Nash MC
Sawa ila punguza kuwaweka watu hatua ambazo hawaoti ata kufikiaNdo inavyotakiwa
Kwa nini wasifikie mbona una mawazo madogo wewe sasa asipofika yeye afike naniSawa ila punguza kuwaweka watu hatua ambazo hawaoti ata kufikia
Poa mkuu tuombe uzima na sisi tuone akifika huko basiKwa nini wasifikie mbona una mawazo madogo wewe sasa asipofika yeye afike nani
Hebu iweke Picha ya black panther tulinganisheJamaa kafanana na BLACK PANTHER
Tatizo hujasikia ngoma zakehuyo ndo producer bora!!!...we nadhani umeanza kula bhangi
Ngoja nikutaftieZiweke hapa ngoma yake