ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hizi akili za mzee Mpili kabisaUfalme wa Simba umefitinika, mnagombana wenyewe kwa wenyewe.
Wawa ni 51 yrs sasa, Onyango 52, Kagere 48. Mnategemea nini?
Hiyo sio timu ya mpira ila ni timu ya makumbusho ya vipaji vya mpira