GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Wapumbavu wanataka Kuwaangushieni Zigo la Mavi ( Nnya ) pale Timu ikifungwa basi Lawama zote zielekezwe Kwenu wakati GENTAMYCINE nina uhakika kuwa Adui namba moja wa Simba SC yetu ni Mwekezaji Mohammed Ghullum Dewji ( Tajiri Kibyongo ) na kamwe wala siyo nyie na hata kama ni kweli nanyi mna Mapungufu yenu ( kama labda ya Upigaji ) bado nasema lawama zimwendee Yeye Tajiri Kibyongo Mo Dewji.
Na taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa japo sasa niko mbali na Tanzania ( ila ni katika Jumuiya yetu ya Afrika Mashariki ) ni kwamba tayari kuna Watu wameshaandaliwa ( tena kwa Kulipwa kabisa ) wa Matawi na wasemaji Uchwara kuwa Siku ya Derby tukifungwa tu Watu wa Media wawapelekee Mic na Wawachafueni. Nawapendeni na ndiyo maana leo nawaombeni Siku ya Derby msiende kwa Mkapa acheni Wauwane wao.