Salim Ahmed Salim alikuwa na nyota na alipendwa

Salim Ahmed Salim alikuwa na nyota na alipendwa

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
65932A5A-A789-47D9-9952-62B8110C4A18.jpeg
 
Mkuu huyo alikuwa Balozi, aligombea Ukatibu Mkuu wa U.N.,, Katibu Mkuu wa OAU, Waziri wa Ulinzi na hatimae
Waziri Mkuu. Amegombea URAIS mara mbili. Alipendwa sana na wananchi, ila fitina za mimi ni Mbara na wao ni Wapemba, au mimi ni Mzanzibara na wao ni Wazanzibari zili muhujumu sana.

Alipendwa na wananchi kwa lipi?

Aliwahi kusimia nini??

Kama alipendwa mbona "alifanyiwa hujuma?

Mbona Mwinyi, Samia, Shein hawakifanyiwa hujuma'?

Exposure yote ya ku observe siasa na tawala za dunia bado haelewi Tanzania haitawaliwi na Jeshi, anavaa magwanda ya jeshi kwa vile eti waziri wa ulinzi!

Upeo wa civic responsibility and civic knowledge mdogo.
 
Alipendwa na wananchi kwa lipi ?

Aliwahi kusimia nini ??

Kama alipendwa mbona "alifanyiwa hujuma ?

Mbona Mwinyi, Samia, Shein hawakifanyiwa hujuma' ?

Exposure yote ya ku observe siasa na tawala za dunia bado haelewi Tanzania haitawaliwi na jeshi, anavaa magwanda ya jeshi kwa vile eti waziri wa ulinzi!

Upeo wa civic responsibility and civic knowledge mdogo.
Mkuu mimi nimetoa taarifa kama alivyo hitaji mtoa hoja. Aidha maswali yako yapo kwenye hoja yangu kwa mtoa hoja. Kama una ya ziada tujuze ili tupate elimu.
 
Kabisa huyo ndio Alitakia awe raisi wetu wa awamu ya pili
Au ya tatu!
Ukisoma historia, Wakati wa kumtafuta mrithi wa Rais Mwinyi enzi hizo watu wafuatao walikuwa midomoni mwa watanzania: Lowassa, Kikwete na yeye Salim. Halafu sasa, Salim alikuwa anawika ile mbaya kimataifa na alionesha uzalendo wa hali ya juu kwa taifa lake, aliaminika. By comparing with the other two candidates, he was a Statesman indeed.

Anyway, kisicho riziki hakiliki. Pamoja na kuonekana kutoshea, sadly, hakuwahi kupata hiyo nafasi.
 
Au ya tatu!
Ukisoma historia, Wakati wa kumtafuta mrithi wa Rais Mwinyi enzi hizo watu wafuatao walikuwa midomoni mwa watanzania: Lowasa, Kikwete na yeye Salimu. Halafu sasa, Salim alikuwa anawika ile mbaya kimataifa na alionesha uzalendo wa hali ya juu kwa taifa lake, aliaminika. By comparing with the other two candidates, he was a Statesman indeed.
Anyway, kisicho riziki hakiliki. Pamoja na kuonekana kutoshea, sadly, hakuwahi kupata hiyo nafasi.
Ulisomea wapi hiyo historia?
 
Back
Top Bottom