moyo wa bilionea
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 327
- 649
Umri na ugonjwa. Amepata mitihani sana. Pia alifiwa na mkewe.Mzee kachoka.
Hata tabasamu hana tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri na ugonjwa. Amepata mitihani sana. Pia alifiwa na mkewe.Mzee kachoka.
Hata tabasamu hana tena.
Maradhi, kufiwa na watu wa karibu na uzee ni mojawapo ya mitihani michungu mno ya duniya. Allah atufanyie wepesi 🤲Umri na ugonjwa. Amepata mitihani sana. Pia alifiwa na mkewe.
Mkuu huyo alikuwa Balozi, aligombea Ukatibu Mkuu wa U.N.,, Katibu Mkuu wa OAU, Waziri wa Ulinzi na hatimae
Waziri Mkuu. Amegombea URAIS mara mbili. Alipendwa sana na wananchi, ila fitina za mimi ni Mbara na wao ni Wapemba, au mimi ni Mzanzibara na wao ni Wazanzibari zili muhujumu sana.
Sijui anasumbuliwa na ugonjwa gani, lakini anaonekana kuwa na dalili za ugonjwa uliomuua Muhammad Ali.Mzee kachoka.
Hata tabasamu hana tena.
Mkuu mimi nimetoa taarifa kama alivyo hitaji mtoa hoja. Aidha maswali yako yapo kwenye hoja yangu kwa mtoa hoja. Kama una ya ziada tujuze ili tupate elimu.
Mkuu, ni kwamba alipendwa kwa utendaji wake wa kazi uliofuata sheria n.a. taratubu zote za kazi. Alikuwa mnyenyekevo kwa wote. Zamani kazi zilikuwa zinafanyika kwa mujibu wa kanuni za Utumishi Umaa, hakuna kujimwambafai ama kujitangaza tangaza kuwa fulani amefanya hivi! Suala la Kujikomba-komba ama uchawa halikuwepo. Aidha kutokana uadilifu na uchapa kazi wake ndio uliopelekea hata kuchaguliwa kugombea Ukatiibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na hatimaye akagombea Ukatibu Mkuu wa Jumuia ya Africa.. Hii inatosha kuthibitisha kwanba alikuwa mchapa kazi na mtu makini sio kwa Tanzania tu bali hata Nje ya Afrika. Au Mkuu ulitaka nikutajie kwamba amejenga madaraja au amenunua meli na ndege kwa kodi za Wananchi ndio unaona amefanya kazi iliyotukuka? hao ni wa ten percent tu.Wewe ndio umesema alipendwa na watu na alifanyiwa hujuma.
Alipendwa na watu kwa lipi?
Basi siasa za zamani zilikiwa rahisi sana, mtu anapendwa bure bure tu amesimama kama shina la mti hafanyi lolote, tunasema anapendwa!
Hii ni hadithi ya kutunga haina ukweli wowote ule!!Naskia enzi hizo dingi alimpanga mzee rusksa kwamba kwenye kikao cha NEC akiulizwa km anataka urais akatae.dingi alitaka iwe hivyo sababu alishampanga mtu wake ili ruksa akikataa amuulize na yule aliemtaka yeye.
Kuna dingi mwingine akamfata ruksa akambonyeza wee acha uboya ukiulizwa kubali.ndio hivyo akamuuza dingi na dingi akakosa jinsi ya kufanya
Ongezea kuwa mwaka 2005 Wazanzibar wenzake walimhujumu huku Watanganyika wakitaka awe Rais wa Tanzania.Mkuu huyo alikuwa Balozi, aligombea Ukatibu Mkuu wa U.N. Katibu Mkuu wa OAU, Waziri wa Ulinzi na hatimae
Waziri Mkuu. Amegombea URAIS mara mbili. Alipendwa sana na wananchi, ila fitina za mimi ni Mbara na wao ni Wapemba, au mimi ni Mzanzibara na wao ni Wazanzibari zili muhujumu sana.
Mkuu, Shukrani sana, maana huyu Ndugu si mwepesi wa kung'amua mambo.Ongezea kuwa mwaka 2005 Wazanzibar wenzake walimhujumu huku Watanganyika wakitaka awe Rais wa Tanzania.
Ndo maana awamu ya 2 haina hata mambo mengi au heka heka za mitifuano baina ya wagombea.Naskia enzi hizo dingi alimpanga mzee rusksa kwamba kwenye kikao cha NEC akiulizwa km anataka urais akatae.dingi alitaka iwe hivyo sababu alishampanga mtu wake ili ruksa akikataa amuulize na yule aliemtaka yeye.
Kuna dingi mwingine akamfata ruksa akambonyeza wee acha uboya ukiulizwa kubali.ndio hivyo akamuuza dingi na dingi akakosa jinsi ya kufanya
Kwani Kuna ubaya akizungumziwa sasa?.Kwani umzungumzie sasa? Kuna nini huko?