Salim Ahmed Salim alikuwa na nyota na alipendwa


Alipendwa na wananchi kwa lipi?

Aliwahi kusimia nini??

Kama alipendwa mbona "alifanyiwa hujuma?

Mbona Mwinyi, Samia, Shein hawakifanyiwa hujuma'?

Exposure yote ya ku observe siasa na tawala za dunia bado haelewi Tanzania haitawaliwi na Jeshi, anavaa magwanda ya jeshi kwa vile eti waziri wa ulinzi!

Upeo wa civic responsibility and civic knowledge mdogo.
 
Mkuu mimi nimetoa taarifa kama alivyo hitaji mtoa hoja. Aidha maswali yako yapo kwenye hoja yangu kwa mtoa hoja. Kama una ya ziada tujuze ili tupate elimu.
 
Kabisa huyo ndio Alitakia awe raisi wetu wa awamu ya pili
Au ya tatu!
Ukisoma historia, Wakati wa kumtafuta mrithi wa Rais Mwinyi enzi hizo watu wafuatao walikuwa midomoni mwa watanzania: Lowassa, Kikwete na yeye Salim. Halafu sasa, Salim alikuwa anawika ile mbaya kimataifa na alionesha uzalendo wa hali ya juu kwa taifa lake, aliaminika. By comparing with the other two candidates, he was a Statesman indeed.

Anyway, kisicho riziki hakiliki. Pamoja na kuonekana kutoshea, sadly, hakuwahi kupata hiyo nafasi.
 
Ulisomea wapi hiyo historia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…