Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Aibu yaandio yanazidi kuharibu.Wakuu!
Kampeni za CCM zinaendelea kwa nguvu huku Salim Alaudin, mbunge wa jimbo la Ulanga kwa kipindi cha 2020/25 na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, amesema, "Sisi Ulanga ukimsema vibaya Rais tunakuloga"
View attachment 3458693
hivyo ndio vionjo vya uchaguziMoja ya Nguzo ya ccm ni Uchawi
Aina hii ya kiongoz ni mzigoWakuu!
Kampeni za CCM zinaendelea kwa nguvu huku Salim Alaudin, mbunge wa jimbo la Ulanga kwa kipindi cha 2020/25 na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Agosti 29, 2025. amesema, "Mhe. Rais sisi Wananchi wa jimbo la Ulanga tumejiambia hivi, tukimuona Mtu anakusema vibaya tunatumia njia mbadala, tunakuloga"
Kobazi kwenye moja na mbiliWakuu!