PreGE2025 Salim Faraj Abri Asas: Mtaitwa na wengi na kipindi hiki mtakuwa na 'press conference' nyingi

PreGE2025 Salim Faraj Abri Asas: Mtaitwa na wengi na kipindi hiki mtakuwa na 'press conference' nyingi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Faraj Abri (ASAS) amewakumbusha wanachama wa chama hicho ambao wana dhamira ya kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi kupitia mwamvuli wa CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuepuka kutumia mwanya huo kuwashambulia watia nia wengine kwa kuwakashifu na badala yake watangaze vipaumbele vyao.

Ameyasema hayo leo wakati akiongea na waandishi wa habari mkoani Iringa katika kikao maalumu cha kujenga mahusiano na tasnia hiyo kama ambavyo imekuwa utaratibu wa chama hicho wakati wote.​

Chanzo: Kitenge Tv​
 
Back
Top Bottom