Salim Kikeke ajiunga rasmi na Crown FM & TV

Mtangazaji Nguli, Mwanahabari na Mwandishi wa habari mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Salim Kikeke amejiunga na Redio/TV ya Crown FM/TV inayomilikiwa na Alikiba.

Hii ni baada ya Alikiba kusasisha video inayoonyesha Salim Kikeke akikataa kupokea simu ya Wacha Fu FM inayotafsiriwa kuwa ni Wasafi FM, ya Kisingeli FM (EFM) na Icecream TV (Azam TV) kisha kupokea simu ya Alikiba (Crown FM/TV). Katika Video hiyo, Alikiba ameandika yafuatayo:

"My Brother @salim_kikeke hii ilikuwa ndoto na maono tuliyokuwa nayo muda mrefu. Wakati unafanya maamuzi ya kurudi Nyumbani Tanzania tulipata nafasi ya kuzungumza na nikakueleza kiu yangu yakutaka kufanya kazi na wewe Gwiji, Nguli na Mtaalam wa Tasnia hii ya Habari Afrika na Dunia.

Najua Simu zilikuwa nyingi sana lakini uliona CROWN ni sehemu sahihi sana kwako. Karibu kuwa sehemu ya Historia tunayoenda kuiandika pamoja.

Nimekuvisha Taji na CROWN Media tunaamini Hesabu zetu za Kimkakati zimekaa Sawa. Karibu sana Nyumbani @crownfmtz na @crowntvtz" ameandika Alikiba, Msanii wa muziki wa Tanzania na Mmiliki wa Redio/TV Crown.

View attachment 2976728
STRANGE, UTOKE BBC UJE KWA WASWAHLI! HAWA , ZUHURA SAWA, ANAOGELEA KWENYE HELA.....HAWA?MHHHHH
 
kila la kheri
 
Ili kumuondoa hapo uteuzi dakika yeyote!
 
Ali Kiba Hana uwezo wa kumwajiri Kikeke ninachokiona hapa inawezekana Salim ni mmiliki mwenza ila tu Ali Kiba kwasababu ni brand wameamua iende hivyo.
 
Wabongo bana, kwahiyo kikeke ana hela kuzidi Kiba? Hivi muziki mnauchukuliaje?

Mziki una ela ila kikeke anapesa aisee weka mbali na watoto kikeke anapesa tena nasisitiza kikeke anapesa bro [emoji23][emoji23]
 
Salim kikeke ni mmiliki wa hio media,Alikiba hana uwezo wakumlipa salim
 
Naona kikeke anakwenda chalinze
Kuwahoji wakina jk na mtoto wake
Naona anaanza na familia#1 tz
Wenye nchi

Ova
 
Back
Top Bottom