Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Kiukweli wote wamemchana hasaa! Ila God bless Lema ni hatari ana maarifa makubwa sana. Mtu wa aina yake huwezi kumkuta CCM. Ukiingia CCM tu unakuwa mbumbumbu kama hujawahi kupita shule.Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter.
Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................
Sometimes change has to be fought from within. Albert Einstein once said “Doing the same thing over and over again and expecting different results is INSANITY”
Also, don’t always apply the ‘one size fits all’ approach. And, most importantly - don’t freakin’ judge anyone. 😎
Baaada Ya Chapisho Amepitia Spana Kadha Wa Kadha Licha Ya Kujitahidi Kujibu Lakini Hali Inaonesha Amepoteza Credibility Yake Na Trust Ambayo Ameijenga Kwa Watanzania Kama Mtangazaji Nguli......
Moja Ya Comment Ni Kutoka Kwa God bless Lema Ikitanabahisha Kuwa "
Being a Chawa Won’t Change Anything
Real change doesn’t come from fear or flattery. It comes from truth, courage, and standing up for what is right. Many people think that staying close to power no matter what is a smart move. But history tells a different story.
Being a chawa (a bootlicker) may give you short term comfort, but it kills your voice and your values. You end up protecting a broken system instead of fixing it. You become part of the problem.
Change has never come from silence or blind loyalty. It comes when people choose to speak up, even when it’s hard. So instead of clapping for everything, ask hard questions. Instead of fearing power, hold it accountable.
Because if we keep doing the same thing and expect different results, as Einstein said—that’s insanity.
Hiyo Ni Comment Kutoka Kwa Godless Lema Na Inayofuatia Ni Comment Ambayo imetolewa Na Shaabiki ikisema Kuwa "
Hata ile program mlokua mhojiane na Heche ni wazi usingeweza kuvumilia spana maana angekuchoma sana maini. Ni wazi ungekua BIASED ndo maana mlimtumia tu kama chambo ya kupata audience na baadae kummwaga kisa kesi ambayo kiuhalisia hakua anahusika kwenye zuio. CHAWA MPYA TOWN
Comment Nyingine ni kama Ifutavyo..............
THE LUIS FIGO WA BONGO 💔
Watu kukuwaza haimaanishi labda wewe ni masihi hapana Imani ya watu wengi ilikuwa kwako ghafla ukasaliti jamii Yako ambayo ilikuwa na Kila aina ya mtu kutoka pande zote za vyama ila now haupo kama Nuru ya watu nitakataa kusema labda ni njaa iliyo kupelek
Hao wanaharakati utawaweza?,wanamparamia tu,yeyote,hawajui hata wanachopigania ni vululu vululu tu, useless!Aisee kwanini Anashambuliwa amefanya kosa gani Mkuu.
Waandishi wa habari ni watu waliotakiwa kuwa neutral ktk taaluma zao. Kumbe muda wote huo alikuw na kadi ya chama. Je! Angeweza kufanya kazi bila kuegemea upande mmoja??Write your reply...chadema ******* mnagombana kila mtu .kwani kosa la kikeke ni kutumia haki yake kikatiba kufua chama anachotaka
AhaaaHao wanaharakati utawaweza?,wanamparamia tu,yeyote,hawajui hata wanachopigania ni vululu vululu tu, useless!
Njaa haina baunsa Tanzania is poor country na Kazi pekee utapata hela za bure ni siasa .Waandishi wa habari ni watu waliotakiwa kuwa neutral ktk taaluma zao. Kumbe muda wote huo alikuw na kadi ya chama. Je! Angeweza kufanya kazi bila kuegemea upande mmoja??
Ni sawa tunavyoona viongoz wastafu wakubwa wa vyombo vya kusimamia na kutoa haki, viongoz wa polisi, tume ya uchaguzi akitia nia. Ina maana muda wote huo alikuw na kadi❓🤣.
Lema alijitenga na Mbowe, haikuwa rahisi.Kiukweli wote wamemchana hasaa! Ila God bless Lema ni hatari ana maarifa makubwa sana. Mtu wa aina yake huwezi kumkuta CCM. Ukiingia CCM tu unakuwa mbumbumbu kama hujawahi kupita shule.
Kwanini anagombea uchagani na sio kwao au unakoishi?Kuitwa Mheshimiwa ndiko anako kimbila the former BBC News Anchor. Baada ya uchaguzi ataingia London na Diplomatic Passport akiwa kwenye kamati ya mawasiliano na tekinolojia.
Anakimbilia PESA kwakuwa amewahi kusema mwenyewe kuwa hela anayoipata Tanzania ni ndogo Sana ukifananisha alivyokuwa njeKuitwa Mheshimiwa ndiko anako kimbila the former BBC News Anchor. Baada ya uchaguzi ataingia London na Diplomatic Passport akiwa kwenye kamati ya mawasiliano na tekinolojia.
Dada yake si ndiyo Malkia! Neno moja tu Kikeke anatangazwa.Kwanini anagombea uchagani na sio kwao au unakoishi?
Kuna wachaga wanagombea morogoro (ASENGA)HAKUNA TATIZO, TANZANIA NI MOJA,TUPO HURU KUGOMBEA POPOTE,KARIBU UGOMBEE NACHINGWEA.Kwanini anagombea uchagani na sio kwao au unakoishi?
Ubunge ni nafasi ya kupiga hela kwa TanzaniaKuna wachaga wanagombea morogoro (ASENGA)HAKUNA TATIZO, TANZANIA NI MOJA,TUPO HURU KUGOMBEA POPOTE,KARIBU UGOMBEE NACHINGWEA.
Personal interests can easily corrupt most of the people. That’s why even Musk, the richest man on earth, became one of Trump’s sycophants. Huenda Kikeke naye amekuwa victim wa maslahi yake binafsi.Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter.