zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,946
- 6,664
Aogombee nn tena mzee wa watu mwache apumzike ...maana akiendele tena mtasema anang'ang'ania madaraka hamna jema nyie Kila kitu kibaya kwenuKwahiyo wanakubali kuweka utu na akili pembeni ili wapewe Hela? Fikiria Mwanaume mzima kama Majaaliwa Kasimu anaambiwa usigombee ubunge na kweli anakubali Kwa unyenyekevuuuu