Salim Kikeke anapitia Spana kwenye mtandao wa X

Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter.
Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................
Sometimes change has to be fought from within.
Ni kweli anachosema Kikeke! lakini kwa CCM hali ni tofauti. Kuna ''uchawi au mazingaombwe'' ndani ya CCM yasiyoruhusu mawazo mbadala from within.
Maprofesa, Madaktari wa kisomo, madaktari wa tiba, Engineers, Wanasayansi, Watu wa Art n.k. wameingia CCM kwa nia hiyo, hakuna aliyefanikiwa .

Kikeke afikrie kwamba, mkutano Mkuu wa CCM una watu 1000+ hakuna aliyethubutu kutamka katiba imevunjwa, halafu utegemea change itatoka within !

Pale mjengoni kuna wau 400 hawawezi kujadili mauaji ya raia kwasababu wamekemewa na CCM, leo Kikeke anataka kuleta change within peke yake!
Salim anacheza na lugha, anachotaka ni kuingia mjengoni alete change within mifuko yake ya suruali, nothing more
Albert Einstein once said “Doing the same thing over and over again and expecting different results is INSANITY”
Well done! hapa Kikeke anaunga mkono NRNE akisema watu wafanye mambo tofauti mwaka huu.

Kwenda kwenye uchaguzi na Tume ambayo Wakurugenzi ni Wanachama wa CCM (Wilson Mahera) mtia nia Butiama, ni ujinga
Also, don’t always apply the ‘one size fits all’ approach. And, most importantly - don’t freakin’ judge anyone. 😎
Ni kweli lakini yeye hana size kwa kuingia CCM na kugombea. CCM hairuhusu size ni '' one size fits all'' ukienda kinyume wewe si mwenzao.

JokaKuu
 
Hakuna spana hapo

Kuna kikundi cha waliokua frustrated na mfumo….. which is understandable

Kikeke anatafuta pesa yake tu kupitia siasa… bahati mbaya mlango wa siasa Kwa Tanzania is not the roght choice

Kuna siasa za imla kwenyr kilq chama

Lema kesharudi?
 
Kikeke mjinga sana.

Anagombea uongozi, basically subjecting himself to judgement, halafu anawaambia wananchi wenye hasira kali wasim judge.

We specialize in contradiction.
 
Kiukweli wote wamemchana hasaa! Ila God bless Lema ni hatari ana maarifa makubwa sana. Mtu wa aina yake huwezi kumkuta CCM. Ukiingia CCM tu unakuwa mbumbumbu kama hujawahi kupita shule.
Aaisee
 
Write your reply...chadema ******* mnagombana kila mtu .kwani kosa la kikeke ni kutumia haki yake kikatiba kufua chama anachotaka
Maajabu wanaendeshwa na mjinga kama LEMA ,kwa jinsi chadema walivyo iko siku watagombana na LISSU pia.Ni swala la muda tu.
 
Mwana habari toka lini akawa na chama ? We unadhani siku za usoni tutamuamini vp katika taaruma yake
 
Mwana habari toka lini akawa na chama ? We unadhani siku za usoni tutamuamini vp katika taaruma yake
jinga wewe kubenea salum mwalim kibanda ngurumo bulaya hao sio waandishi wa habari na hawakua chadema?
 
Aisee kwanini Anashambuliwa amefanya kosa gani Mkuu.
Hajafanya kosa ila kaambukizwa Uchawa.
Kwa mara ya kwanza waTanzania tunajaribiwa IQ zetu!
CHADEMA- Mbowe vs CHADEMA Lisu...
Swali fikirishi ...IPI INA MANUFAA KWA WATANZANIA?
 
Mzanzibari mkazi ana kibari za uzanzibari, tusiingiliane akagombee kwao.
 
Write your reply...chadema ******* mnagombana kila mtu .kwani kosa la kikeke ni kutumia haki yake kikatiba kufua chama anachotaka

Watu wenye akili timamu wanaandika hoja, wewe hayawani unaandika matusi. Pole sana kwa kukosa akili ya tafakuri.
 
Kuitwa Mheshimiwa ndiko anako kimbila the former BBC News Anchor. Baada ya uchaguzi ataingia London na Diplomatic Passport akiwa kwenye kamati ya mawasiliano na tekinolojia.
Wewe Dada uwa una akili sana
 
Maajabu wanaendeshwa na mjinga kama LEMA ,kwa jinsi chadema walivyo iko siku watagombana na LISSU pia.Ni swala la muda tu.
Uwezo wa GODBLESS LEMA kiakili ,kiuelewa na kiufahamu nadhan kwenu mnaungana wewe na ukoo wako wote na pande za wake zenu na ukoo wao wote au waume zenu ukoo wao wote lakini bado hamuwezi hata kufikia robo ya uwezo wa GODBLESS LEMA ki akili, uelewa na ufahamu. Hivyo ni ngumu saa kwako kuona GODBLESS LEMA ana uwezo gani ni level kubwa sana kwako kulijua hili.
 
Hao wanaharakati utawaweza?,wanamparamia tu,yeyote,hawajui hata wanachopigania ni vululu vululu tu, useless!
Mimi naunga mkono no reforms ila siungi mkono kushambulia wale ambao wao wanaona mambo kwa mtazamo tofauti.
Mfano zitto. Zitto ana chama chake kina sera zake na alifukuzaa chadema. Hivyo ACT haiwezi kuwa na mtazamo na sera kama za Chadema ndiyo maana walimfukuza.
Agenda ya no reform iwe pushed bila kushambulia kila mwenye mtazamo wa tofauti.
 
Write your reply...chadema ******* mnagombana kila mtu .kwani kosa la kikeke ni kutumia haki yake kikatiba kufua chama anachotaka
Je Ccm mna urafiki na kila anayeongea ukweli? Mfano halisi ni Gwajima, nini kinaendelea katika kanisa lake?
 
Eti kuna uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa, hii nadharia labda mkawaambie wasiojua ukweli.
 
Kikeke apitishe greda kwenye barabara za mamba komakundi na kondeni,na ahaidi uboreshaji wake ni kero kubwa mno!
Barabara ya umma ijengwe na mtu binafsi ili kuhadaa wananchi apate kura?
 
Yaani hapa mtu akienda upinzani..aaa huyo anaonekana mwambaa hasa akienda kwenye hizi tatataka za chadomo...Lakini ukienda ccm hata wezi wa magari wanakunyooshea mikono huu ni ukumanyoko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…