Salim Kikeke anapitia Spana kwenye mtandao wa X

Yaani hapa mtu akienda upinzani..aaa huyo anaonekana mwambaa hasa akienda kwenye hizi tatataka za chadomo...Lakini ukienda ccm hata wezi wa magari wanakunyooshea mikono huu ni ukumanyoko!
Watu waliohama ccm na kuhamia upinzani, wote walifanyiziwa na mfumo hadi wakarudi wenyewe ccm bila kupenda. Ww unajiliza na maneno.
 
Mbona mtanganyika hawezi kwenda kugombea Zanzibar, au mnataka kuondosha nini?
Hizi ndio kasoro za muungano wetu,tunao wapemba,tabora,kigoma,mtwara,arusha mwote humo wanamiliki mashamba kihalali kabisa hata hapo Moro wamejaa.
 
Wanamuonea tu kwa kutumia haki yake ya kidemokrasia.
 
Kiukweli wote wamemchana hasaa! Ila God bless Lema ni hatari ana maarifa makubwa sana. Mtu wa aina yake huwezi kumkuta CCM. Ukiingia CCM tu unakuwa mbumbumbu kama hujawahi kupita shule.
Unaweza usimkute mtu CCM ila akawa ni wa CCM nje ya CCM
 
Watu waliohama ccm na kuhamia upinzani, wote walifanyiziwa na mfumo hadi wakarudi wenyewe ccm bila kupenda. Ww unajiliza na maneno.
Hili hapana, mnataka kuniamby kuwa hakuna aliyetoka upinzani akaenda ccm bila fitina? Au wote waliohama upinzani walinunuliwa?×
 
Sioni kosa la kikeke anataka kujaribu kuongia kwenye siasa ladba ilikua ndoto yake,sasa Chadema hampeliki wawakilishi kugombea hizo nafasi sasa atumie chama gani chenye kukubalika kuingia kwenye siasa,lema nae kama mtoto sasa kumchaleng kikeke anaona atapata umaarufu ameshindwa kuibadilisha system amebaki kuwalaumu watu
 
Hizi ndio kasoro za muungano wetu,tunao wapemba,tabora,kigoma,mtwara,arusha mwote humo wanamiliki mashamba kihalali kabisa hata hapo Moro wamejaa.
Wazazimbar kila kitu wanapata huku, hadi urais, ubunge na udiwani. Lakini mtanganyika hawezi kupata hayo zanzibar. Na inatumika nguvu kubwa kuficha na kutetea udhaifu huo.
 
Safari hii Mchegerwa amewasambaza washkaji zake kwenye majimbo karibia yote.Ili zile biashara zao ziende vizuri .
 
Unaweza usimkute mtu CCM ila akawa ni wa CCM nje ya CCM
My friend nje ya CCM hayupo mtu wa CCM hata mmoja. Nje ya CCM watu wana akili zao kamili January mpaka December...! CCM wanapangiwa Nini waseme na wanakubali....hao watu au misukule???
 
Ccm Wana hela.
Kwahiyo wanakubali kuweka utu na akili pembeni ili wapewe Hela? Fikiria Mwanaume mzima kama Majaaliwa Kasimu anaambiwa usigombee ubunge na kweli anakubali Kwa unyenyekevuuuu
 
Mama Samia ni chombo cha neema kwa Tanzania — uongozi wake ni taa ya matumaini, dira ya maendeleo na alama ya hekima. 2030 tupo tayari
 
Hao wanaharakati utawaweza?,wanamparamia tu,yeyote,hawajui hata wanachopigania ni vululu vululu tu, useless!
Ndio wanazid kutuonyesha upinzani ni WA hovyo Tz .wanataka democracy alaf Kila mtu akichagua upande ambao sio wao matusi yanaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…