Aogombee nn tena mzee wa watu mwache apumzike ...maana akiendele tena mtasema anang'ang'ania madaraka hamna jema nyie Kila kitu kibaya kwenuKwahiyo wanakubali kuweka utu na akili pembeni ili wapewe Hela? Fikiria Mwanaume mzima kama Majaaliwa Kasimu anaambiwa usigombee ubunge na kweli anakubali Kwa unyenyekevuuuu
Hasumbuliwi, anakosolewaAisee kwanini Anashambuliwa amefanya kosa gani Mkuu.
Thank you for your confirmationMy friend nje ya CCM hayupo mtu wa CCM hata mmoja. Nje ya CCM watu wana akili zao kamili January mpaka December...! CCM wanapangiwa Nini waseme na wanakubali....hao watu au misukule???
Hayaondoki bila kuuvunja au kuurekebisha Muungano.Haya ndiyo mambo ya kuyaondosha kabisa hayafai wala hayatufai./ Experience sharing muhimu sana.
Ni chawa kama alivyo Lucas Mwashambwa na wote wawili hawana akili kabisaJamaa nilikuwa namuoma smart kichwani kumbe hamna lolote...wale wale aka njaa@kali
Hii mijitu mingese aisee, nammis sana JPM; hakika alijua kuituliza mipunguani hii. Yenyewe inataka Kila mtu awe poyoyo tu....mifala kweli hii. Kikeke anafight kimtindo wake, hamjamsaidia chochote kufika hapo alipofika mabwege nyie hivyo hamuwezi kumzuia njia zake.Write your reply...chadema mnagombana kila mtu, kwani kosa la Kikeke ni kutumia haki yake kikatiba kufua chama anachotaka
Vp amekuibia kijambio Cha mkeo?!!!Kikeke ni tapeli kama matapeli mengine
Tulia dada anguVp amekuibia kijambio Cha mkeo?!!!