PreGE2025 Salim Kikeke athibitisha kugombea ubunge kulekea uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Leo katika posti yake katika mtandao wa Instagram Salim Kikeke amesema akitoka kwenye majukumu yake nje ya nchi atakuja kugombea moja ya jimbo, licha ajaweka ni jimbo gani

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Screenshot 2025-06-10 210510.png
 
Nchi imekuwa ya ajabu sana kila mtu anataka kwenda bungeni nilimsikia ata yule Dj wa Diamond nae anataka kugombea ubunge. Inasikitisha sana!
 
Bunge limekuwa kama disko tena disko vumbi

Ova
 
Nilivyoelewa ujumbe wa Kikeke sio nia ya kuchukua jimbo bali ana dhamira ya kumsafisha mama.
Sasa kama mazungumzo ni off-record ameleta public kwa sababu gani?
 
Nchi imekuwa ya ajabu sana kila mtu anataka kwenda bungeni nilimsikia ata yule Dj wa Diamond nae anataka kugombea ubunge. Inasikitisha sana!
Sasa kama wamemuona babu tale yupo bungeni wao wanona kabisa hawawezi kushindwa..
 
Ni muda wa michawa kula pensheni kwa tiketi ya ubunge Kama walivyokubariana
 
Leo katika posti yake katika mtandao wa Instagram Salim Kikeke amesema akitoka kwenye majukumu yake nje ya nchi atakuja kugombea moja ya jimbo, licha ajaweka ni jimbo gani

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Huyu hata ile online tv yake ni pesa za Abdul kupitia kwa Mwenye Kifua Kipana.
 
Huyu jamaa pamoja na kufanya kazi kwenye nchi yenye demokrasia, haijamsaidia chochote kurekebisha ubongo wake na kuondoka upumbavu alio nao.

Badala ya kupigania reforms zitakazomuwezesha hata mwanaye kupata ubunge bila kuwa chawa wa mtu, anawaza kupewa ubunge ktk umri wake wa saa 12 jioni.

Hatimaye mpumbavu kazeeka!
 
Nchi imekuwa ya ajabu sana kila mtu anataka kwenda bungeni nilimsikia ata yule Dj wa Diamond nae anataka kugombea ubunge. Inasikitisha sana!
Sasa kama tuna rais aliyeishia form four unategemea nini ? Huko wilayani amejazwa wazanzibari kila kona .
 
Back
Top Bottom