Salim kikeke Mkombozi wa nguruwe Moshi vijijini

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
1,299
Reaction score
3,977
Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu β€” na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa.

Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi kabisa. Asante MNYAZIMUNGU WA TAHARA NA BARAKATU kwa kutuletea Kikeke – zawadi ya ukweli!

Kikeke tusaidie tupate masoko ya nguruwe kule kisiwani, maana huku tunafuga hadi tunachoka, lakini soko bubu! Sasa naona dalili za maisha mapya."
 
Mimi ni muislam na hatuna shida na Nguruwe. Kwahiyo salam kikeke yupo sahihi.
 
Dah namfananisha kama kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Mcheki mwamba hapo Chini.



adriz muft kuku the infinity @nyamwi255
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…