Salim kikeke Mkombozi wa nguruwe Moshi vijijini

Salim kikeke Mkombozi wa nguruwe Moshi vijijini

Salim Kikeke mkombozi wa nguruwe
Kwa hiyo ingekuwa atokea kule kwa kina Mapunda na majina ka hayo tungembatiza Mr. Manguruwe hii nchi ngumu sana wagombea waongowaongo kwa kwenda mbele ye aseme na jopo lake wanataka ukaribu kutumia uwepo wa mlima na utalii kwa ujumla wake kwa namna ya kupata manufaa muislam na minguruwe wapi na wapi hebu tuwe japo realistic kidogo japo tueleweke
 
Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu — na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa.

Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi kabisa. Asante MNYAZIMUNGU WA TAHARA NA BARAKATU kwa kutuletea Kikeke – zawadi ya ukweli!

Kikeke tusaidie tupate masoko ya nguruwe kule kisiwani, maana huku tunafuga hadi tunachoka, lakini soko bubu! Sasa naona dalili za maisha mapya."
11 Kulikuwepo kundi kubwa la nguruwe likila katika kilima. 12 Wale pepo wakamwomba Yesu awatume waende katika lile kundi la nguruwe na kuliingia, 13 Naye akawaruhusu. Kwa hiyo pepo wachafu walimtoka mtu yule na kuwaingia nguruwe.[c] Kundi lile lilikuwa na idadi karibu ya elfu mbili, lilikimbia kuelekea kwenye kingo zenye mtelemko mkali na kutumbukia ziwani, ambamo walizama.
 
Hilo hatujali salim kikeke atatafuta soko achana yesu
 
Eti mkombozi! 😄 🤣

Kabla ya kwenda Kikeke, nguruwe walikuwaje?
 
Back
Top Bottom