Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 623
- 716
Kwa hiyo ingekuwa atokea kule kwa kina Mapunda na majina ka hayo tungembatiza Mr. Manguruwe hii nchi ngumu sana wagombea waongowaongo kwa kwenda mbele ye aseme na jopo lake wanataka ukaribu kutumia uwepo wa mlima na utalii kwa ujumla wake kwa namna ya kupata manufaa muislam na minguruwe wapi na wapi hebu tuwe japo realistic kidogo japo tuelewekeSalim Kikeke mkombozi wa nguruwe
Wewe wa moshi vijijini kwa hiyo tusishukuru ...Mods futeni hizi pumba.
Hakuna kufuta salim kikeke amesema atatafuta masoko we nani wa kubisha na tutampa kura zetuMods futeni hizi pumba.
11 Kulikuwepo kundi kubwa la nguruwe likila katika kilima. 12 Wale pepo wakamwomba Yesu awatume waende katika lile kundi la nguruwe na kuliingia, 13 Naye akawaruhusu. Kwa hiyo pepo wachafu walimtoka mtu yule na kuwaingia nguruwe.[c] Kundi lile lilikuwa na idadi karibu ya elfu mbili, lilikimbia kuelekea kwenye kingo zenye mtelemko mkali na kutumbukia ziwani, ambamo walizama.Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu โ na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa.
Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi kabisa. Asante MNYAZIMUNGU WA TAHARA NA BARAKATU kwa kutuletea Kikeke โ zawadi ya ukweli!
Kikeke tusaidie tupate masoko ya nguruwe kule kisiwani, maana huku tunafuga hadi tunachoka, lakini soko bubu! Sasa naona dalili za maisha mapya."
Hilo hatujali salim kikeke atatafuta soko achana yesu11 Kulikuwepo kundi kubwa la nguruwe likila katika kilima. 12 Wale pepo wakamwomba Yesu awatume waende katika lile kundi la nguruwe na kuliingia, 13 Naye akawaruhusu. Kwa hiyo pepo wachafu walimtoka mtu yule na kuwaingia nguruwe.[c] Kundi lile lilikuwa na idadi karibu ya elfu mbili, lilikimbia kuelekea kwenye kingo zenye mtelemko mkali na kutumbukia ziwani, ambamo walizama.
Kipenzi chetu Hussain Ali akiutetea ๐ฅบ ๐Dah namfananisha kama kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Mcheki mwamba hapo Chini.
View attachment 3428509View attachment 3428510
adriz muft kuku the infinity @nyamwi255
๐๐We jamaa ulivyokomaa na huyu mwamba๐Dah namfananisha kama kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Mcheki mwamba hapo Chini.
View attachment 3428509View attachment 3428510
adriz muft kuku the infinity @nyamwi255
Hahaha๐๐We jamaa ulivyokomaa na huyu mwamba๐
Nilikuwa simfahamu naona ukimpost tu napotezea, leo ngoja nikam 'gugo'