Salim Kikeke na Charles Hilary wa BBC SWAHILI, hakunaga kama hawa jamaa...

Nani Juma Nkamia mbona mweupe tu Sued Mwinyi peke yake anamkimbiza mbaya,hawezi kuwa level ya Charles bana.

Kaka akina charles,salim ni kwasababu tu wap BBC kitambo, je na akina nkamia, sued, n.k wangekuwepo huko nathani kusingekuwa na tofauti sana.
 
watangazaji wa itv na tbc bado hawajawa serious............MIMI NI JOOOHHHNNN MAAARAAATUUUUUUUU WA ITV.....wat the fack
mmh jaman sijui tatizo ni nini. mbona hawa walikuwa watangazaji wa ITV, alikuwa akitangaza habari kwa lugha ya kiingereza saa 4 usiku[ siku hizi hakipo] na charles hilal alikuwa radio one.
 


Kweli ndugu...mi mwenyewe nimekuwa mvivu wa kuckiliza BBC kwa nyakati hizi KHERY kuwasubiria kina Kaka Hilali kwenye TV...Yaani wamejaa wakenya kiswahili hawajui vizuri basi tabu tupu...Yaan hawa jamaa ni wabinafsi sana mtu akishapewa nafasi anaanza kuwatafuta wakikuyu wenzake n.k....Yulee jamaa anaiharibu BBC swahili
 
watangazaji wa itv na tbc bado hawajawa serious............MIMI NI JOOOHHHNNN MAAARAAATUUUUUUUU WA ITV.....wat the fack

Hahaahahahhahaha,,pokea like mkuu!! Huyu jamaa ananikwazaga sana ase!! Bora niangalie CNN full day,, nikihitaj habar za nyumbani,,najikita JF
 


Ni kweli hasa Salim Kikeke anafanya kiswahili kiwe kizuri,kiwe na ladha!...ila wangekuwa wanabadilishana waje na wengine kama redioni.
 
watangazaji wa itv na tbc bado hawajawa serious............MIMI NI JOOOHHHNNN MAAARAAATUUUUUUUU WA ITV.....wat the fack

Hahahaha aisee...

Salim na zuhura yunus na da.zawadi.machibya naweza nkawasikiliza siku nzima..
 
BBC dira ya dunia ipo juu. salim kikeke ana mvuto wa ajabu, yani hutamani kubanduka kwenye runinga. habari ni nusu saa tu lakini uchambuzi ni wa kina na lugha imenyooka. wenzetu wa bongo, habari lisaa lizima lakini unaweza usikilize na usielewe, vihabari vingivingi maelezo hayaeleweki. media za tanzania jifunzeni kutoka kwa hawa wenzenu, mko slow sana ktk kutangaza na hamna mvuto kwa watu kuwatazama na kuwasikiliza. mkiendelea hivi, mtabakia kuwa local tu, u will never go beyond boarders/international, na ujio wa hivi ving'amuzi, mtashangaa mtakuwa mwajitazama wenyewe tu hakuna mtu atatazama habari zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…